Jaribio la siku 14 BURE - hakuna kadi ya benki

kwa Biashara ya Tanzania

Hakuna gharama zilizofichwa. Chagua mpango unaolingana na duka lako.

1. M-Pesa Lipa

52806296

Necuva Group Limited

2. Mix by Yas

18214626

Necuva

3. Tuma pesa / WhatsApp

0743910580

Tuma reference kwa admin

DukaPilot

Ona kazi halisi kabla ya kuanza.

DukaPilot si bei tu. Hizi ndizo sehemu ambazo mfanyabiashara hutumia kila siku: dashboard, mauzo, stock, madeni, supplier orders na AI Assistant.

Screenshot ya dashboard ya DukaPilot

Mauzo / POS

Rekodi mauzo kwa cash, M-Pesa, benki au credit.

Sukari 1kg - TZS 3,200
Maziwa fresh - TZS 2,500
Faida: TZS 1,100

Stock

Ona bidhaa zilizo chini ya kiwango na agiza mapema.

Mafuta 1L - 4 left
Mchele 5kg - 2 left
Alert: agiza leo

Madeni

Fuatilia deni la mteja na uweke malipo yakirudi.

Asha - TZS 18,000
Salum - TZS 7,500
Status: partial

Order za supplier

Tengeneza order na ujumbe tayari kutuma WhatsApp.

Jumla Traders
Bidhaa 6
Tuma WhatsApp

AI Assistant

Pata hatua za leo: agiza, fuatilia deni, punguza gharama.

1. Agiza sukari
2. Fuata deni la Asha
3. Promote bidhaa yenye margin

Jaribio Bure

Inafaa kwa: Duka linalotaka kujaribu mfumo kabla ya kulipia.

BURE

kwa siku 14

Inajumuisha

  • Hifadhi ya bidhaa kamili
  • Mauzo ya POS na online
  • Ripoti za msingi
  • Maagizo ya wasambazaji
  • Kiswahili na English
Anza BureOngea WhatsApp
Maarufu

Msingi

Inafaa kwa: Duka moja lenye bidhaa, mauzo, madeni na matumizi ya kila siku.

TZS 15,000

kwa mwezi

Inajumuisha

  • Kila kitu katika Jaribio
  • Bidhaa zisizo na kikomo
  • Dashboard ya faida, mauzo na malipo
  • Export ya mauzo na inventory (CSV)
  • Msaada wa WhatsApp
Chagua MsingiOngea WhatsApp
Bora Zaidi

Pro

Inafaa kwa: Biashara inayokua yenye wafanyakazi, reports na AI assistant ya maamuzi ya kila siku.

TZS 35,000

kwa mwezi

Inajumuisha

  • Kila kitu katika Msingi
  • Akaunti nyingi za wafanyakazi na permissions
  • Ufuatiliaji wa wafanyakazi na historia ya hatua za AI
  • AI priority workflows za kila siku
  • Msaada wa kipaumbele WhatsApp
Chagua ProOngea WhatsApp

DukaPilot dhidi ya washindani

ProgramuBeiKiswahiliTanzania
DukaPilotSisiTZS 15,000/mwezi
QuickBooks POSTZS 150,000+/mweziHapanaHapana
TallyTZS 80,000+/mweziHapanaHapana
iKhokhaTZS 50,000+/mweziHapanaHapana

Jinsi ya kulipa

Chagua plan, lipa kwa Lipa Number rasmi, kisha weka reference kwenye Billing au tuma screenshot WhatsApp. Admin atahakiki na kuactivate mpango wako.

1. M-Pesa Lipa Number: 52806296

Jina: Necuva Group Limited

2. Mix by Yas Lipa Number: 18214626

Jina: Necuva

3. Tuma pesa: 0743910580

Weka reference au tuma ujumbe WhatsApp 0743910580.

Weka payment reference

Kwa nini DukaPilot

DukaPilot si POS tu. Ni AI assistant inayokuambia cha kufanya: agiza bidhaa, fuatilia deni, punguza gharama, na promote bidhaa yenye margin.

Ona AI Assistant

Je, ninahitaji kadi ya benki kuanza?

Hapana. Jaribu siku 14 bila malipo yoyote.

Malipo yanafanywa vipi?

Kwanza tumia M-Pesa Lipa Number 52806296 jina Necuva Group Limited. Pili tumia Mix by Yas Lipa Number 18214626 jina Necuva. Au tuma pesa 0743910580, kisha weka reference au tuma WhatsApp.

Ninaweza kubadilisha mpango?

Ndiyo, wakati wowote. Tofauti itahesabiwa kulingana na muda uliobaki.

Data yangu iko salama?

Ndiyo. Data inahifadhiwa kwenye seva salama na ina backup.

Fungua akaunti bila kadi ya benki.