Mauzo / POS
Rekodi mauzo kwa taslimu, M-Pesa, benki au deni.
Tumia akaunti za demo kuona mauzo, stock, maagizo, madeni, matumizi, nukuu za bei, staff, billing na AI Assistant. PIN zote ni 1234.
Mmiliki
Angalia duka kamili, dashibodi, bidhaa na mauzo.
Muuzaji
Jaribu jukumu la kuuza bila ruhusa ya kubadilisha bidhaa au mipangilio.
Msambazaji
Ona upande wa msambazaji na bidhaa za jumla.
Msaidizi wa AI
Fungua mapendekezo ya hatua za leo.
Nukuu za Bei
Ona rasimu, zilizotumwa, zilizokubaliwa na zilizokataliwa bila kubadilisha mauzo ya demo.
1. Rekodi mauzo, kisha angalia dashibodi.
2. Fungua Msaidizi wa AI uone hatua za leo.
3. Jaribu akaunti ya muuzaji kuona mipaka ya ruhusa.
4. Angalia Malipo na namba ya kumbukumbu.
5. Fungua Nukuu za Bei kuona kazi za huduma na mzunguko wa amana.
DukaPilot
DukaPilot si bei tu. Hizi ndizo sehemu ambazo mfanyabiashara hutumia kila siku: dashibodi, mauzo, bidhaa dukani, madeni, nukuu za bei, maagizo kwa wasambazaji na msaidizi wa AI.

Rekodi mauzo kwa taslimu, M-Pesa, benki au deni.
Ona bidhaa zilizo chini ya kiwango na agiza mapema.
Fuatilia deni la mteja na uweke malipo yakirudi.
Tengeneza agizo na ujumbe tayari kutuma WhatsApp.
Pata hatua za leo: agiza, fuatilia deni, punguza gharama.
Shiriki QR au link; mteja aone bidhaa na atume agizo.
Tengeneza bei za huduma, kazi, vifaa na miradi kabla ya mauzo kuthibitishwa.
Merchant
+255700000002 / 1234
Cashier
+255700000003 / 1234
Supplier
+255700000001 / 1234