Mauzo / POS
Rekodi mauzo kwa taslimu, M-Pesa, benki au deni.
Hakuna gharama zilizofichwa. Chagua mpango unaolingana na duka lako.
Inafaa kwa: Duka linalotaka kujaribu mfumo kabla ya kulipia.
kwa siku 14
Inajumuisha
Inafaa kwa: Duka au biashara ya huduma inayofuatilia bidhaa, mauzo, madeni, matumizi na nukuu za bei.
kwa mwezi
Inajumuisha
Inafaa kwa: Biashara inayokua yenye wafanyakazi, miradi/nukuu za bei, ripoti na msaidizi wa AI kwa maamuzi ya kila siku.
kwa mwezi
Inajumuisha
DukaPilot
DukaPilot si bei tu. Hizi ndizo sehemu ambazo mfanyabiashara hutumia kila siku: dashibodi, mauzo, bidhaa dukani, madeni, nukuu za bei, maagizo kwa wasambazaji na msaidizi wa AI.

Rekodi mauzo kwa taslimu, M-Pesa, benki au deni.
Ona bidhaa zilizo chini ya kiwango na agiza mapema.
Fuatilia deni la mteja na uweke malipo yakirudi.
Tengeneza agizo na ujumbe tayari kutuma WhatsApp.
Pata hatua za leo: agiza, fuatilia deni, punguza gharama.
Shiriki QR au link; mteja aone bidhaa na atume agizo.
Tengeneza bei za huduma, kazi, vifaa na miradi kabla ya mauzo kuthibitishwa.
| Programu | Bei | Kiswahili | Tanzania |
|---|---|---|---|
| DukaPilotSisi | TZS 15,000/mwezi | ||
| QuickBooks POS | Ilisitishwa 3 Okt 2023 | Hapana | Hapana |
| TallyPrime International | USD 630 mara moja | Hapana | Hapana |
| iKhokha | Hakuna ada ya mwezi; vifaa/miamala (Afrika Kusini) | Hapana | Hapana |
Vyanzo rasmi vimekaguliwa 5 Agosti 2026. Bei za fedha za kigeni, VAT, vifaa na ada za miamala hazijabadilishwa kuwa TZS; thibitisha na muuzaji kabla ya kununua.
Chagua plan, lipa kwa Lipa Number rasmi, kisha weka reference kwenye Billing au tuma screenshot WhatsApp. Admin atahakiki na kuactivate mpango wako.
1. M-Pesa Lipa Number: 52806296
Jina: Necuva Group Limited
2. Mix by Yas Lipa Number: 18214626
Jina: Necuva
3. AzamPesa Lipa Number: 293726045
4. Selcom Lipa Number: 7006 3589
Jina: Necuva Group Limited
5. Tuma pesa: 0743910580
Weka reference au tuma ujumbe WhatsApp 0743910580.
DukaPilot si POS tu. Ni AI assistant inayokuambia cha kufanya: agiza bidhaa, fuatilia deni, punguza gharama, na promote bidhaa yenye margin.
Ona Msaidizi wa AIJe, ninahitaji kadi ya benki kuanza?
Hapana. Jaribu siku 14 bila malipo yoyote.
Malipo yanafanywa vipi?
Tumia M-Pesa 52806296, Mix by Yas 18214626, AzamPesa 293726045, au Selcom 7006 3589. Jina ni Necuva Group Limited isipokuwa Mix by Yas ni Necuva. Au tuma pesa 0743910580, kisha weka reference au tuma WhatsApp.
Ninaweza kubadilisha mpango?
Ndiyo. Wasiliana na support kubadilisha mpango unaoendelea; tutaweka muda uliolipiwa sawa kabla ya mabadiliko.
Data yangu iko salama?
Ndiyo. Data inahifadhiwa kwenye seva salama na ina backup.
Fungua akaunti bila kadi ya benki.